Hii sio Memes, Ni ukweli usiopingika, @temsbaby na @officialbabalevo ndio wasanii wenye pua kubwa katika Bara la Afrika.
Unajua kuna watu wametoboa maisha kwasababu tu sehemu fulani za Mwili wao zimezidi, mfano Diamond unazani angekuwa na Mdomo wa kawaida angetoboa? Jamaa ametoboa baada ya watu wengi kuanza kuponda muonekano wake, walijua wanamuangusha lakini kumbe ndio kwanza walikuwa kama wanampiga chura teke na akazidi kupata attention kubwa kwa Watanzania.
Hata Babalevo, Pua lake lina mchango mkubwa sana katika mafanikio yake, bila pua kubwa mwijaku asingepata cha kumtania Babalevo. Kuna watu wanapenda interview za Babalevo ili tu waone mapua yake.
Pia Love wa Tamthilia ya Juakali ubonge wake ndio umefanya atoboe, angekuwa mwembamba ingekuwa vigumu sana kuwa katika Tasnia ya uigizaji. Mashalove pia angekuwa na matiti ya kawaida asingezingatiwa na watu kabisa.
Tuna mifano mingi sana, hivyo basi kama unahisi katika mwili kuna sehemu mbaya na unatamani ufanye surgery, acha mawazo hayo, huo huo muonekano unaweza kuwa na faida kubwa sana kwako.
#mudumohUPDATE