Agness Suleiman almaarufu Aggy Baby; ni muigizaji wa tamthilia na msanii wa Bongo Fleva ambaye anasema kuwa, kati ya vitu vinavyommalizia pesa ni bando kwa sababu anatumia shilingi milioni tatu kwa ajili ya kujiunga na kifurushi cha siku.
Aggy Baby ambaye hivi karibuni alitangaza kuwa tayari kumzalia mchezaji wa Yanga, Fei Toto anasema “Kiukweli kinachonimalizia pesa ni simu, natumia karibia shilingi milioni tatu kwa siku, hata kula siyo hivyo kwa sababu naweza kula shilingi milioni mbili au milioni moja na nusu, lakini bando linalimalizia sana pesa.”
Tazama video yake hapo chini 👇
Aggy baby akieleza Kupitia CARRYMASTORY TVJe, Wewe huwa unaunga bando ya bei gani kwa siku???.
#mudumohupdate