Home MCHEZAJI FEISAL SALUM APATA AJALI byMudumoh -5:07 AM 0 Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania na Klabu ya Yanga Feisal Salum Feitoto Ameripotiwa Kupata Ajali ya Gari Leo Hii, Hata Hivyo Hajapata Madhara yeyote kutoka Kwenye Ajali hiyoTaarifa zaidi Tutakuletea Hivi Karibuni 🙏 Facebook Twitter