AJALI BASI LAGONGANA NA GARI LA HELA WATU 20 WAFARIKI




 Watu 20 wamepoteza maisha na wengine 61 kujeruhiwa kufuatia ajali ya gari lililokua linasafirisha fedha kugongana na basi katika jimbo la Limpopo nchini nchini Afrika Kusini.


Basi hilo lilishuka kutoka darajani na kuingia mtoni chini ya ardhi. Chanzo cha ajali hiyo kinachunguzwa.

#mudumohupdates


Post a Comment

Previous Post Next Post