WAZIRI MWIGULU ATAJA CHIMBUKO LA TOZO ZA MIAMALA NA MABENKI/NCHI HII NI YETU


Waziri Mwigulu Ataja Chimbuko la TOZO 




Na Mwandishi Wetu Mahmudu Suleiman,




Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba akitokea ufafanuzi Kuhusu TOZO zinazotozwa Kwenye miamala ya simu na mabenki Amesema Baada ya kuwepo Malalamiko Mengi Kutoka Kwa Wananchi, wanaharakati na Baadhi ya wanasiasa


Amesema 


" Kuanzisha TOZO Ilikuwa ni kuunganisha Nguvu Kama Watanzania ili kuweza kukamilisha Yale mahitaji ya Ulazima Katika nchi Kama Maeoneo ya Madarasa, Ualimu, Ujenzi wa vituo Vya Afya na Maeneo yasiyo na barabara




Rais Samia alisema tunajua Kila familia Ina majukumu yake Lakini nayo ikichangia kiwango kidogo Cha fedha tutaenda mbali zaidi Kwa Sababu hii ni Solidarity fund




Tulianza kuwatoza Kwenye miamala ya simu Kwa baadae tukaona tuendelee na Kwenye mabenki Kwa Sababu Kuna wale Wananchi Ambao WANAFANYA miamala Kwenye mabenki na wao wachangie kulijenga Taifa lao Kwa Namba moja ama nyingine 




TOZO sio Kodi ya biashara Bali kuunganisha Nguvu ili kutekeleza majukumu Ambayo ni ya Ulazima na zitaendelea kuwepo" Amesema Waziri mwigulu 





Post a Comment

Previous Post Next Post