ENGINEER HERSI SAID ACHAGULIWA KUWA RAIS WA YANGA


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano, Yanga SC, Mhandisi Hersi Said amechaguliwa kuwa Rais wa timu hiyo kwa kipindi cha miaka mine ijayo.  

Hersi aliyekuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo, amepitishwa rasmi na mkutano mkuu maalum wa uchaguzi unaoendelea muda huu kwenye Ukumbu wa Mikutano wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.  

Je, unatarajia nini kutoka kwake?  

#HersiSaid #YangaSC #UchaguziYanga

Post a Comment

Previous Post Next Post