WAISILAM WACHUKIZWA NA KUILAANI VIKALI KAULI YA SHEIKHE ABDULRAZAKI


 Ikiwa imebaki siku moja kuelekea sikukuu za EID, waisilam nchini Tanzania wameungana kuipinga kauli ya mtu mmoja anayejiita Sheikhe Abdullazack ambaye ni mume wa mtangazaji wa wasafi Divatheebawse, 

Katika video moja inayosambaa mitandaoni inamuonyesha Sheikhe Abdullazack akisema siyo zambi mwanamke wa kiislam kuvaa wigi na hata kuswali nalo kwani wigi pia ni kama hijabu au mtandio kwani linafunika nywele asilimia ambazo ndizo hazitakiwi kuonekana.


Kama lengo lake likikuwa kutrend basi amefanikiwa maana huko Instagram kila Sheikhe na taasisi za dini tukufu ya kiislam zimemposti huku zikikemea na kupinga kauli yake na ikiwezekana aombe msamaha kwa waisilam wote.


Post a Comment

Previous Post Next Post