MSANII LULU DIVA ATAKA KUJIUA BAADA YA VIDEO ZAKE CHAFU KUVUJA


Baada ya Habari zake Kusambaa Kwenye Mitandao ya Kijamii hii ni mara Baada ya Video zake Chafu kuvujishwa Imeripotiwa kutoka Katika Moja ya Media kubwa kuwa  Msanii wa Bongofleva Luludiva a Usiku wa kuamkia jana alipagawa Mpaka kuamua anywe sumu ili afe, bahati nzuri watu walimuwahi wakampeleka Hospital moja Jijini hapa.


Inasemekana kwamba Hali ya Lulu Diva Hivi Sasa ni Shwari kidogo na anajutia sana kilichotokea, anaomba sana samahani kwa watanzania kwani amekosea sana na amesema yote ni sababu ya Pombe. Hii ni kwa mujibu wa Media hiyo.


Tuachane na Hayo, hili suala lina ukweli kiasi gani? Hivi watu ambao mnakaa karibu na Lulu Diva hizi story za Kunywa sumu ni za kweli au Media inatafuta Subscriptions tu hivyo imeamua kutupiga, maana bongo siku hizi kila mtu ni Mwanahabari.


Tuiachie comment yako Hapa chini ✍️


Post a Comment

Previous Post Next Post