MWIJAKU AFICHUA RAYVANNY KULIPISHWA MAMILIONI KUVUNJA MKATABA WCB WASAFI


 Mtangazaji wa Cloudsfm DC MWIJAKU amesema msanii rayvanny hajaondoka free Wcb kama watu wanavyodhani Licha ya Kutangaza Kuondoka kwa amani Jana July 12, 2022 Katika Label Hiyo iliyomkuza.


kupitia katika kipindi cha LEO TENA Mwijaku amesema Label ya WCB WASAFI Ilizuia account mbalimbali za mitandao ya kijamii, Youtube Channel yake pamoja na platform zote za kuuza muziki mtandaoni mpaka alipe shilingi milioni 800,



Mwijaku Amesema rayvanny amepambana Sana hadi amezipata hizo Pesa za kuvunja mkataba na jana wamemruhusu aondoke na kwa sasa atafaidka kwa kila kitu kupitia youtube na platform zingine 



Aidha mwijaku amemshauri rayvanny kupita kitika njia alizopita mwenzake harmonize ili asipotee, lazima atengeneze team kubwa itakayompush Kama vile managers,machawa n.k



#mudumohupdate

Post a Comment

Previous Post Next Post