Hii ni orodha ya wasanii wa Bongofleva kutoka Tanzania wanaolipwa fedha nyingi katika show zao.
1. Diamond Platnumz - Sh162 milioni
2. Rayvanny - Sh60 Milioni
3. Harmonize - Sh58 milioni
4. Zuchu - Sh46 milioni
5. Mbosso - Sh23 milioni
6. Marioo - Sh20 milioni
7. Jux - Sh20 Milioni
8. Barnaba - Sh19 Milioni
9. Nandy -Sh18 Milioni.
10. Alikiba -Sh15 Milioni
#Halisimediatz